1. Homa ya ini (Hepatitis), VVU etc.. kwa sababu umekuwa exposed kwenye bodily fluids/biofluids.
2. Uwezekano upo japo ni mdogo sanaaa (almost negligible).
3. Possibility inaongezeka especially kama una mchubuko/kidonda (port of entry).
4. Inategemeana na mzunguko wake hedhi. Wale wa siku 21, siku za hatari zinawahi kufika ukilinganisha na wale ambao mizunguko yao huchukua siku 28-35
NB: Ukitoa suala la hygiene, kama afya zenu zipo vizuri na hamna kinyaa , hakuna shida yoyote kufanya sex wakati wa period. Infact inamsaidia hata mwanamke interms of mood (mood stabilizer) kwa sababu ya vichocheo ambavyo mwili huvitoa wakati wa tendo.