Msaada kwenye tuta....

Msaada kwenye tuta....

Kwa kijumbe una madeni,pono mpaka vpn,mungu kakunyima suraaa,kakupa komwe hauna churaaaa

YATAPITA TU~MISO MISSONDO
 
Madaktari msaada tafadhal, Nini shida hapa na Nitumie dawa Gani maana Nisha chomwa injection kama gentamicin na penadol lkn Bado Ngoma ngumu,.
Daktari unayemtaka hayupo, nenda hospitali inayoeleweka wakufanyie vipimo sahihi siyo zile za Arafa.
 
Mambo yenyewe ndiyo haya,maradhi kila kona kaka zenu tukiwaambia oweni mnatuona sisi hatuna akili!

Jamiiforums hata kama madktari wapo hata kama wanajua dawa ya kukusaidia watakushauri vipi wakati hujafanyiwa vipimo?nenda hospital.
 
umekula kula kavu sasa deal na utonvu
Vijana wa kileo ni wakuwasikitikia.

Wanafanya ngono huku hawajui hata namna ya kujikinga na wakigumia maradhi hela za kujitibu hawana wanaishia kwenye viji-dispensary uchwara huko mitaani kama alivyofanya huyu.
 
Madaktari msaada tafadhal, Nini shida hapa na Nitumie dawa Gani maana Nisha chomwa injection kama gentamicin na penadol lkn Bado Ngoma ngumu,.
hiyo ni gono,nenda hosp usitumie dawa hovyohovyo
 
Mambo yenyewe ndiyo haya,maradhi kila kona kaka zenu tukiwaambia oweni mnatuona sisi hatuna akili!

Jamiiforums hata kama madktari wapo hata kama wanajua dawa ya kukusaidia watakushauri vipi wakati hujafanyiwa vipimo?nenda hospital.
Magonjwa mengine ni uchafu tu wa kuzama kila shimo ...Watu wengine damu zao chafu sana ila bado mtu anataka kuzama kila shimo.
 
Back
Top Bottom