Naunga mkono. Pita hiyo ya B'Moyo.
Muda mzuri ondoka Asubuhi sana 5am utazitangulia sana Bus wale jamaa wasumbufu.
Au ondoka saa 1 mabasi yameshaenda.
Kuhusu gari:
1. Cheki oil level na ubora. Kama oil imeshapita muda Bora ufanye service.
2. Tyre pressure angalia mbele ziwe 45 nyuma 35 psi poa sana.
3. Coolant na brake fluid iwe level.
4. USIWEKE IKEDA.
5. Weka wese kama lita 45 hadi 50 huku (kama laki 1 na nusu hivi) maana unavyozidi kwenda mbali na Dar wese linapanda bei.
6. Fuata ushauri wa mdau hapo juu ukiwa na company esp yoa mdada utainjoy zaid.
7. Usiendeshe uwahi kufika. Endesha ufike salama. Pumzika for breakfast (30mnts), lunch, na maji so ukipumzika mara , 3 poa sana.