Kwa leo somo letu limeishia hapaNdio njia inayoongoza kwa kua na matrafiki wengi.
Hakikisha gari ina extinguisher, triangle, copy ya kadi, na haina deni na wewe una leseni.
Mwendokasi uwe mdogo fuata vibao vya 50.
The rest fuata tu Google Map. Utafika. Ni kama 7 hours kutoka hapo Mkata.
Nashukuru ,na njia ipi nzuri kati ya hii ya Chalinze na ile ya Bagamoyo?Ndio njia inayoongoza kwa kua na matrafiki wengi.
Hakikisha gari ina extinguisher, triangle, copy ya kadi, na haina deni na wewe una leseni.
Mwendokasi uwe mdogo fuata vibao vya 50.
The rest fuata tu Google Map. Utafika. Ni kama 7 hours kutoka hapo Mkata.
Pita ya Bagamoyo chap kwa haraka.Nashukuru ,na njia ipi nzuri kati ya hii ya Chalinze na ile ya Bagamoyo?
Naunga mkono. Pita hiyo ya B'Moyo.Pita ya Bagamoyo chap kwa haraka.
Mkuu nakutakia safari njema. Ikikupendeza basi usimame hapa Korogwe tupige story mbili tatu na lunch wakati oil inashuka then uendelee na safari.Wakuu heshima kwenu.
Naomba msaada kwa wenye uzoefu na safari ya Dar to Arusha. Kesho kuna gari naipeleka Arusha, changamoto ni kwamba sijawahi fika Arusha kwa njia ile, nimeishia pale Mkata.
Kwa wazoefu naomba mnitoe tongo tongo changamoto ya ruti hiyo. Kuhusu udereva, nna uzoefu wa miaka mingi na nshapiga ruti ndefu nyingi sana, sema sijawahi hiyo ya Arusha.
Asanteni, naomba kuwasilisha.
Vanguard lita 60 FT, unatoboa maana ila consumption ya 12km/l average ukiendesha vema inagusa 14.Shukrani, na kwa uzoefu wako Toyota Vanguad nikijaza full tank naweza toboa chuga?
Nashukuru sana mkuu ubarikiwe.Kuhusu service kila kitu nimezingatiaNaunga mkono. Pita hiyo ya B'Moyo.
Muda mzuri ondoka Asubuhi sana 5am utazitangulia sana Bus wale jamaa wasumbufu.
Au ondoka saa 1 mabasi yameshaenda.
Kuhusu gari:
1. Cheki oil level na ubora. Kama oil imeshapita muda Bora ufanye service.
2. Tyre pressure angalia mbele ziwe 45 nyuma 35 psi poa sana.
3. Coolant na brake fluid iwe level.
4. USIWEKE IKEDA.
5. Weka wese kama lita 45 hadi 50 huku (kama laki 1 na nusu hivi) maana unavyozidi kwenda mbali na Dar wese linapanda bei.
6. Fuata ushauri wa mdau hapo juu ukiwa na company esp yoa mdada utainjoy zaid.
7. Usiendeshe uwahi kufika. Endesha ufike salama. Pumzika for breakfast (30mnts), lunch, na maji so ukipumzika mara , 3 poa sana.
Naelekea huko naomba tusonge wote.Wakuu heshima kwenu.
Naomba msaada kwa wenye uzoefu na safari ya Dar to Arusha. Kesho kuna gari naipeleka Arusha, changamoto ni kwamba sijawahi fika Arusha kwa njia ile, nimeishia pale Mkata.
Kwa wazoefu naomba mnitoe tongo tongo changamoto ya ruti hiyo. Kuhusu udereva, nna uzoefu wa miaka mingi na nshapiga ruti ndefu nyingi sana, sema sijawahi hiyo ya Arusha.
Asanteni, naomba kuwasilisha.
Hapo namba 4 sijaelewa iyo IKEDA ni nini?Naunga mkono. Pita hiyo ya B'Moyo.
Muda mzuri ondoka Asubuhi sana 5am utazitangulia sana Bus wale jamaa wasumbufu.
Au ondoka saa 1 mabasi yameshaenda.
Kuhusu gari:
1. Cheki oil level na ubora. Kama oil imeshapita muda Bora ufanye service.
2. Tyre pressure angalia mbele ziwe 45 nyuma 35 psi poa sana.
3. Coolant na brake fluid iwe level.
4. USIWEKE IKEDA.
5. Weka wese kama lita 45 hadi 50 huku (kama laki 1 na nusu hivi) maana unavyozidi kwenda mbali na Dar wese linapanda bei.
6. Fuata ushauri wa mdau hapo juu ukiwa na company esp yoa mdada utainjoy zaid.
7. Usiendeshe uwahi kufika. Endesha ufike salama. Pumzika for breakfast (30mnts), lunch, na maji so ukipumzika mara , 3 poa sana.
Mabishoo wa Sinza wanaoendesha Crown wakina National AnthemHapo namba 4 sijaelewa iyo IKEDA ni nini?
Ni liquid air freshener.Hapo namba 4 sijaelewa iyo IKEDA ni nini?