Trick mirik
JF-Expert Member
- May 5, 2019
- 551
- 1,272
Shukrani sana mkuuhighlight
-radeon 555 pro (level za 750ti)
-4k display
-i5 probably 7400
-8gb ddr4
-thunderbolt
mkuu kwa mimi around 2m naona inafaa, ikipungua kidogo ama kuzidi kidogo sio mbaya.
Hivi chief laptop zote zenye thunderbolt type c zinaconect external gpu?highlight
-radeon 555 pro (level za 750ti)
-4k display
-i5 probably 7400
-8gb ddr4
-thunderbolt
mkuu kwa mimi around 2m naona inafaa, ikipungua kidogo ama kuzidi kidogo sio mbaya.
Ndio mkuu, point ni kwamba thunderbolt angalau inakupa Bandwidth Gb 40 kwa sekunde. Haina speed kama Pcie ya kwenye desktop ila angalau inakaribiana. Tofauti na ports nyengine ambazo zipo slow na zinafanya gpu ya nje iwe slow.Hivi chief laptop zote zenye thunderbolt type c zinaconect external gpu?
Hizo cable zake za kuconect zinakuwaje?Ndio mkuu, point ni kwamba thunderbolt angalau inakupa Bandwidth Gb 40 kwa sekunde. Haina speed kama Pcie ya kwenye desktop ila angalau inakaribiana. Tofauti na ports nyengine ambazo zipo slow na zinafanya gpu ya nje iwe slow.
Hazina tofauti na cable za chaja ya simu kimuonekano ila ufanyakazi ni tofauti. Ukiangalia site kama amazon utaziona.Hizo cable zake za kuconect zinakuwaje?
unaconect vipi sasa?Hazina tofauti na cable za chaja ya simu kimuonekano ila ufanyakazi ni tofauti. Ukiangalia site kama amazon utaziona.
Kibongo bongo to be safe tafuta cable za Macbook maana mac miaka yote zina hii feature hivyo type c yake itakuwa nazo.
Na type C za thunderbolt zinapitisha umeme hadi watts 100 hivyo ukiona chaja ya Macbook ina cable ya type C watts zaidi ya 50 ujue ndo yenyewe hio cable za kawaida za simu hazina uwezo huo bila kuwa na uwezo wa thunderbolt.
Pia nyengine zinaekwa kialama cha radi kwenye kichwa.
unamaanisha gpu sio? kunakuwa na enclosure, hio enclosure unachomeka gpu na kwenye umeme, then ile cable ndio inaconect enclosure na pcunaconect vipi sasa?
Mkuu, msaada please! link ya kudownload hizi cracked software tatu tafadhali.unamaanisha gpu sio? kunakuwa na enclosure, hio enclosure unachomeka gpu na kwenye umeme, then ile cable ndio inaconect enclosure na pc
inakuwa kama hivi
ukishachomeka gpu unafunga then port zake ndo unachomeka cable
sema bei zake kwa sasa ni ndefu kama $200 hivi, plus gpu ya maana hapo ni laki 8 pengine.
Adobe edition ndio nini?Mkuu, msaada please! link ya kudownload hizi cracked software tatu tafadhali.
Fl studio 12
Adobe illustrator
na Adobe Edition
ubarikuwe sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia hapa utazipata zote.
Zipo apps nzuri, kama una smartphone unaweza ukaweka. Zipo pia website kama mp3skull.to sema hizo website zina matangazo ya kutosha kama huna uzoefu utaondoka na malware kibao.chief msaada tutuni naomba nisaidie link ambayo itanisaidia kudownload na music from youtube
kwani naweza install kwenye pc?Zipo apps nzuri, kama una smartphone unaweza ukaweka. Zipo pia website kama mp3skull.to sema hizo website zina matangazo ya kutosha kama huna uzoefu utaondoka na malware kibao.
Pc unaweza tumia hizo website ila hakikishakwani naweza install kwenye pc?