coco bella
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 305
- 315
Nimepata safari ya kwenda Maeneo ya KINGORWILA, MOROGORO kikazi lakini mwenyeji wangu ananiambia guest zote zimejaa hivyo inabidi nipitilize mjini na inavyoonesha nitafika usiku sana naomba msaada kwa aliyeko Morogoro mjini anisaidie kuniangalizia lodge nzuri kama mnavyojua weekend imeanza nahofia kukosa pa kulala!!! Nahitaji msaada kiukweli!!!! Ahsante
Mtumie pesa akuchukulie kabisa ukifika usipate tabu na uvivu wako.
Dah huyu jamaa ana pretend au ndo kweli wapo watu wa aina hii mpaka Leo?WE FIKA HUKO MORO GORO acha uvivu
usije kulia lia kesho umetapeliwa
Ntakuzabua mkofi mmoja hutoamini
hata hatufahmu mkuuDah huyu jamaa ana pretend au ndo kweli wapo watu wa aina hii mpaka Leo?