Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,126
mi nimeshasafiri nao sana tu, ni wazuri, ndege za zinaaminika na hakika utasevu hito tudola. kama unaenda dar kwa mfano inabidi kubadili pale doha but all in all sio mbaya ni cost effective.
Asante mdau, waiting time yao pale Doha pia ni nzuri na hicho ndicho kinachonivutia zaidi. Sipendi kuzagaazagaa kusubiria ndege ya kuunganisha.
Vipi kuhusu huduma, mambo kama :
1. Ukarimu na Tabasamu mwanana za wahudumu
2. Vyakula (halaal au kila kitu)
3. Vinywaji, soft and 'non-soft'
4. Air conditioning
5. Customer care kwenye desks zao
6. Online check-in, is it possible etc etc?
...mnh, unafuu wa fare unachangiwa na masaa utayosota pale Doha ukisubiria kuunganisha ndege. Chunguza vizuri ticket, ama wakati wa kwenda au kurudi mojawapo lina walakini.
Transit lounge zaidi ya masaa matatu kwangu ni kero, sijui kwako mkubwa unawezaji kuvumilia masaa yote hayo...!
Online check-in kwasasa sio kitu cha ajabu tena sababu ya E-tickets, ingawa ndege mbili tatu hilo gumu ukisafiria toka JK Nyerere A'port.
Hebu tujulishane vizuri hapo Mkuu, ina maana mtu aliyepo uraiani na wala hana ticket anaweza kuingia hadi kule waiting lounge? Mimi sielewi, lakini nilipita pale Doha nikitokea Colombo, na kuna jamaa zangu hapo Doha ambao wala sikujishughulisha kuwainform kwamba napita hapo kwa kuwa niliamini kwamba hawawezi kuruhusiwa kuja lounge bila ya wao kuwa na ticket. Inakuwaje hii?Vile vile Ukiwa Doha tafadhali tuwasiliane naweza kuja kukutoa kidogo upate mandhali nzuri ya hapa.
Karibu sana. Nifahamishe nitakuja kukuona.
Dr Hamza
Hebu tujulishane vizuri hapo Mkuu, ina maana mtu aliyepo uraiani na wala hana ticket anaweza kuingia hadi kule waiting lounge? Mimi sielewi, lakini nilipita pale Doha nikitokea Colombo, na kuna jamaa zangu hapo Doha ambao wala sikujishughulisha kuwainform kwamba napita hapo kwa kuwa niliamini kwamba hawawezi kuruhusiwa kuja lounge bila ya wao kuwa na ticket. Inakuwaje hii?
Asante mdau, waiting time yao pale Doha pia ni nzuri na hicho ndicho kinachonivutia zaidi. Sipendi kuzagaazagaa kusubiria ndege ya kuunganisha.
Vipi kuhusu huduma, mambo kama :
1. Ukarimu na Tabasamu mwanana za wahudumu
2. Vyakula (halaal au kila kitu)
3. Vinywaji, soft and 'non-soft'
4. Air conditioning
5. Customer care kwenye desks zao
6. Online check-in, is it possible etc etc?
Vinywaji non-soft kibao (kabla sijasafiri nao nilifikiri hawatoi). Ila tatizo ninaloliona la Qatar Airways ni kwwamba wana levels mbalimbali za huduma kutegemea na route. Route za ulimwengu wa kwanza (US, Europe..) zina tabasamu nyingi, better customer care, etc. kuliko za third world destinations (Dar ndani).
Mpemba kwa kupenda mdondo.....panda Ehiopians airlines ni cheap kimtindo ila muda wa kusubiri si chini ya 4hrs.....tafadhali usije kutuharibia amani Pemba....Aisee kiongozi,
Hilo la kusubiria pale Doha kwa kweli nikizingatia tarehe zangu na kulinganisha na Airliners nyingine naona Qatar watanisaidia mno. Airliner nyingine ni muda mrefu mno wa kusubiria zaidi ya masaa 4. Nimecheki KLM na Emirates hawana unafuu kwenye hili, na gharama zao ni za juu pia. Kwa kifupi ticket sijakata bado nangojea input zaidi ili niamue kujicommit kwenye ku-fix option yenye unafuu.
Halafu unaeza ku-elaborate hapo kwenye buluu? (samahani lakini)
Mpemba kwa kupenda mdondo.....panda Ehiopians airlines ni cheap kimtindo ila muda wa kusubiri si chini ya 4hrs.....tafadhali usije kutuharibia amani Pemba....
shem nilikuwa kwenye mfungo nikitafakari kwa mapana zaidi juu ya kupunguza huu mzigo wa dhambi niliona nao......Shem umepotea kimtindo....salama lakini!
shem nilikuwa kwenye mfungo nikitafakari kwa mapana zaidi juu ya kupunguza huu mzigo wa dhambi niliona nao......
Kwa kweli Qatar Airways ni wazuri kwa huduma, ila hata mimi nashangaa kwa nini usichukue Ethiopian Airlines ambayo ni cheap sana? Ingawa ndege zao si mpya sana lakini mi naona kwa ku-save dola ni bora ET flights, lakini kwa kweli ndege zao si mpya.
Mkuu,
Hebu wajaribu na Egypair. Hawa ni cheap kuliko ndege yoyote hata Ethiopian Airline hawaoni ndani. Muda wa kusubiri kuunganisha pale Cairo unategemea unakwenda wapi na ni siku gani. Najua watu wengi hawajui kwamba hii ndege ni cheap. Ofisi zao hapa Dar ziko hapo Sheraton Hotel ya zamani sijui siku hizi mnaiita movenpick.
Tafadhali ukimaliza uchunguzi wako na kufanya uchaguzi usafiri na ndege gani tufahamishe ni ipi umeichagua na utupe vigezo ulivyotumia kwa faida yetu sote.
Tiba
Mpemba kwa kupenda mdondo.....panda Ehiopians airlines ni cheap kimtindo ila muda wa kusubiri si chini ya 4hrs.....tafadhali usije kutuharibia amani Pemba....