Hivi wale jamaa wanaofanya vikao vyao pale Kinondoni Makaburini kwa nyuma (Shadema) ni nani wajumbe wa kudumu katika ule mkutano wao mkubwa?Halafu wale wamama wa viti maalumu ni kina nani wanagombania na wanatokea wapi?Please jibu moja lililokamilika.
Mungu Ibariki Tanzania