Msaada kwenye tuta, Makao makuu ya UNILEVER yapo wapi?

just-imagine

JF-Expert Member
Aug 18, 2015
374
449
...samahani wana JF, nilikuwa naulizia kama kuna mtu anajua makao makuu ya kampuni ya UNILEVER kwa Dar es salaam naomba anijulishe kuna shida ninayo mara moja......
Asanteni
 
panda gari ya nyerere road shuka kituo kinaitwa banda la ngozi thn utaona jengo la manji quality plaza na kuna bank crdb jengo linalofata ni unelever...kabla mataa ya kwenda veta
 
panda gari ya nyerere road shuka kituo kinaitwa banda la ngozi thn utaona jengo la manji quality plaza na kuna bank crdb jengo linalofata ni unelever...kabla mataa ya kwenda veta

Asante sana MUNGU akubariki
 
Back
Top Bottom