Msaada kwenye tuta jamani

Msaada kwenye tuta jamani

babajnr

Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
98
Reaction score
13
Nina miaka 33,nimeoa ndoa ya kikristo miaka 5 ilopita,na nina watoto 2. Nashindwa kujua tatizo langu ni nini,mke wangu ni mrembo wa sura,ananipenda na namwamini kuwa hana mtu nje,lkn kwa kweli mnimekuwa mtu wa tamaa sana kwa warembo wa nje kiasi kwamba naahisi kama nina pepo hivi. Swali hasa kwa wanaume waliooa,(wenye uzoefu ndoani)hivi hii ni kwangu tu au nao walipita stage hii? Na je nawezaje kutocheat? Na je wanaume walioko ndoani (km mm) wanaweza kuwa na mke wa ndoa tuuu? bse mimi naona mtihani kwelikweli na kama mtu ataona binti ninayetoka naye nje ya ndoa atashangaaa,labda ataona bse of her master's degree... (Kama hujisikii kuchangia just leave it,sio unze ku-provoke hapa)
 
Unapoamua kuoa ni vema kujifunza kukubaliana na chaguo lako! Yaani mkeo! Kinachokusumbua sasa ni tamaa inayochochewa na kukinai Kua na mtu mmoja muda wote!! Ukitaka kulinda ndoa yako na malezi mazuri ya hao watoto wako wawili huna budi kufukuza hio tamaa na Kujipa muda wa kuikataa Kinai yako! Nitakupa tips! Weka taratibu za kufanya mapenzi na mkeo walau Mara moja au mbili kwa wiki!! Kama ulizoea Mara kwa Mara hio itarudisha ham nae, Baada ya zoezi hilo jipe kiji safari walau wiki mbili bila kumuona mkeo ili upate wasaa wa kumkumbuka na wakati huo ukiondoa tamaa zote za wewe kucheat!!kwani ukija kucheat ndani ya ndoa hio dhambi itakurudia na itakucost!!
 
Ngoja tumsubiri Mentor namwona anaandika, njoo huku Mentor saidia....huwa nafuatilia michango yako na umeliqualify kupewa hili jukumu la kutoa japo neno!!!!
 
Last edited by a moderator:
Na hao unao wachukua wanafikia kiwango cha mkeo au ndio sibasi tuu?
 
Mkuu! ndio ndoa zilivo! ni kama vile ukienda restaurant ukiagiza Chipsi kuku halafu mwingine akaagiza wali samaki utatamani wa mwenzako! Ni kukomaa tu na chako, ikikulazimu unaonja kidogo msosi aina nyingine then unafuta mdomo na kusahau! maisha yanasonga.
 
1. Tayari umeshacheat na kwa sentensi yako hapo kwenye red inaelekea kuwa mkeo ni mzuri kuliko hako ka binti, shetani amekukamata na umuhimu ni kuwa umeshaona hicho kitendo hakifai acha, kila kitu kiko ndani ya uwezo wako hakuna wa kukusaidia maamuzi, afterall alichonacho huyo binti na mkeo anacho, kama unaona amebadilika hafanyi yale alikuwa anafanya kabla hujaanza kucheat mwambie huyo ni mkeo sio mkweo.
Nina miaka 33,nimeoa ndoa ya kikristo miaka 5 ilopita,na nina watoto 2. Nashindwa kujua tatizo langu ni nini,mke wangu ni mrembo wa sura,ananipenda na namwamini kuwa hana mtu nje,lkn kwa kweli mnimekuwa mtu wa tamaa sana kwa warembo wa nje kiasi kwamba naahisi kama nina pepo hivi. Swali hasa kwa wanaume waliooa,(wenye uzoefu ndoani)hivi hii ni kwangu tu au nao walipita stage hii? Na je nawezaje kutocheat? Na je wanaume walioko ndoani (km mm) wanaweza kuwa na mke wa ndoa tuuu? bse mimi naona mtihani kwelikweli na kama mtu ataona binti ninayetoka naye nje ya ndoa atashangaaa,labda ataona bse of her master's degree... (Kama hujisikii kuchangia just leave it,sio unze ku-provoke hapa)
 
Ngoja tumsubiri Mentor namwona anaandika, njoo huku Mentor saidia....huwa nafuatilia michango yako na umeliqualify kupewa hili jukumu la kutoa japo neno!!!!

@thedealer, mimi hapo naona tu more reasons not to get married...yaani, Bado nipo nipo sana!!!
 
Kama ni mkristo kanuni zinasema hivi ( USITAMANI MWANAMKE ASIYE MKE WAKO), (USIZINI) plz yashike haya na kuyafuat hutashinda usikubali hisia zikutawale hata kidogo.
 
sasa komrade umeoa kikristo halafu unaleta hapa matatizo yako ya tamaa peleka huko huko uliko olea
i mean KWA KRISTO NDIO DAWA; HAPA NI KAMA KWA MGANGA WA KIENYEJI HATIBU PEPO ILA ANAKUPA PEPO KUBWA KUTULIZA LILE DOGO KUMBUKA KUBWA NALO LITACHARUKA SIKU MOJA
 
na kwa kua mkeo
ni mrembo sio kwamba hatongozwi!
siku akijua unalo baba,utalia coz huko ni
kujiendekeza!mfanye mkeo atawale mawazo yako!
wanaume mnasababisha wake zenu kufanya mambo ambayo
hawajawahi kuyawaza!acha hiyo tabia ni mbaya tulia na mkeo!

Nina miaka 33,nimeoa ndoa ya kikristo miaka 5 ilopita,na nina watoto 2. Nashindwa kujua tatizo langu ni nini,mke wangu ni mrembo wa sura,ananipenda na namwamini kuwa hana mtu nje,lkn kwa kweli mnimekuwa mtu wa tamaa sana kwa warembo wa nje kiasi kwamba naahisi kama nina pepo hivi. Swali hasa kwa wanaume waliooa,(wenye uzoefu ndoani)hivi hii ni kwangu tu au nao walipita stage hii? Na je nawezaje kutocheat? Na je wanaume walioko ndoani (km mm) wanaweza kuwa na mke wa ndoa tuuu? bse mimi naona mtihani kwelikweli na kama mtu ataona binti ninayetoka naye nje ya ndoa atashangaaa,labda ataona bse of her master's degree... (Kama hujisikii kuchangia just leave it,sio unze ku-provoke hapa)

Pepo....
Yapo ya kila namna...
Ikiwamo la ngono
Unahitaji maombi
 
bora nimefuta nilichotaka kukiandika :tape2:
ila kumbuka mla vya watu na vyake pia huliwa
 
Bangi tu hizo,huna lolote.....na nina wasiwasi hii ni multiple ID case.....
 
Siku ambayo ukisikia kuwa mkeo naye ana NJEMBA nje, nadhani ndiyo siku nawe utaacha mechi za ugenini..
 
Nina miaka 33,nimeoa ndoa ya kikristo miaka 5 ilopita,na nina watoto 2. Nashindwa kujua tatizo langu ni nini,mke wangu ni mrembo wa sura,ananipenda na namwamini kuwa hana mtu nje,lkn kwa kweli mnimekuwa mtu wa tamaa sana kwa warembo wa nje kiasi kwamba naahisi kama nina pepo hivi. Swali hasa kwa wanaume waliooa,(wenye uzoefu ndoani)hivi hii ni kwangu tu au nao walipita stage hii? Na je nawezaje kutocheat? Na je wanaume walioko ndoani (km mm) wanaweza kuwa na mke wa ndoa tuuu? bse mimi naona mtihani kwelikweli na kama mtu ataona binti ninayetoka naye nje ya ndoa atashangaaa,labda ataona bse of her master's degree...

Ndoa siyo lelemama babajnr, kama ulikuwa unaona hauko tayari kuoa ni bora usingeingia katika ndoa, ungesubiri umalize starehe za ujanani ili ukiingia kifungoni uweze kumudu hali halisi iliyopo katika ndoa.

Hivi unakumbuka kiapo ulicho apa siku ile ya kufunga ndoa?

Ni kipi hasa ambacho unakipata kwa huyo mdada angali kwa mkeo hakipo? Au ni hiyo degree yake ndo inakuchanganya?

Sidhani kabisa kama ni pepo la ngono, naamini ni wewe mwenyewe unashindwa kuucontrol mwili wako, unafanya kile ambacho mwili unataka. Ila kama unaamini ni mapepo unastahili maombezi.
 
Last edited by a moderator:
Unapoamua kuoa ni vema kujifunza kukubaliana na chaguo lako! Yaani mkeo! Kinachokusumbua sasa ni tamaa inayochochewa na kukinai Kua na mtu mmoja muda wote!! Ukitaka kulinda ndoa yako na malezi mazuri ya hao watoto wako wawili huna budi kufukuza hio tamaa na Kujipa muda wa kuikataa Kinai yako! Nitakupa tips! Weka taratibu za kufanya mapenzi na mkeo walau Mara moja au mbili kwa wiki!! Kama ulizoea Mara kwa Mara hio itarudisha ham nae, Baada ya zoezi hilo jipe kiji safari walau wiki mbili bila kumuona mkeo ili upate wasaa wa kumkumbuka na wakati huo ukiondoa tamaa zote za wewe kucheat!!kwani ukija kucheat ndani ya ndoa hio dhambi itakurudia na itakucost!!

my dear, wewe unasumbuliwa na boredom na mazoea ya kila siku hamna kingine. cha msingi tafuta hobby nyingine ya kukupa excitement kwa mfano football, movie hanging out with friends na kupata mvinyo kidogo(kama unakunywa).
 
TheDealer, mimi hapo naona tu more reasons not to get married...yaani, Bado nipo nipo sana!!!

Km nilijua vile, na ndio maana nikakuita maana nili-predict kuwa ungecomment km ulivyocomment!!!

Anyway, Mentor you are always wrong not to mary because of this bullshit, one day you will prove my words!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom