Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
Habari wanajamvi.
Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki.
Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa zinarudi. Anasema hili tatizo ni tangu ameinunua.
cc: Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo please.
labda kuna app inafanya backup halafu inazirudisha
Kwa hyo unashauri ifanyiwe factory reset?
Habari wanajamvi.
Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki.
Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa zinarudi. Anasema hili tatizo ni tangu ameinunua.
cc: Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo please.
Nenda settings - apps - then ingia tab ya all apps - tafuta iyo app ya message - then clear data
Kama iyo application ilikuja haina text yoyote then ita clear storage yoyote iliyofanya ya messages kwenye sim yako, but kama application ilikuja na hardcoded texts messages, basi hata ukifactor reset haitasaidia kitu
yap itasaidia ila mimi naiona hii ni last resort njia zote zikishindikana.
Cm zetu za bei chee kkoo
Kuna mwenzio alianzisha uzi wake yakwake inaitwa Fotola,
Habari wanajamvi.
Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki.
Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa zinarudi. Anasema hili tatizo ni tangu ameinunua.
cc: Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo please.
Kuna application ya backup na kaweka menu ya msg ON. Mwambie aweke OFF tatizo atatibu
Habari wanajamvi.
Nina ndugu yangu ana simu Tecno H6 kila akifuta meseji anazotumiwa haziondoki.
Anapozifuta mara inaonekana imefutika lakini akizima na kuiwasha zile meseji zote zilizofutwa zinarudi. Anasema hili tatizo ni tangu ameinunua.
cc: Chief Mkwawa, Mwl RCT, Njunwa na wengineo please.
Simu nyingi za smartphone sms zinakaa kwenye line hata ukifuta kwenye line zitabaki. Ili ufute zote katika simu nenda kwenye setting ya message > text messages > manage/load sim card messages chagua line futa zote hautaziona tena zikirudi.