muvika online
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 374
- 283
Wadau Nina Simu Yangu ya Tecno C9 sasa Leo Nimeifanyia Factor Reset Baada ya Kumaliza Nikaiwasha, sasa Kwabahati Mbaya Inaniomba Email Iliyokuwepo na Mimi Sihikumbuki Kwani Simu Nilinunua Njiani Tu Kwa Mtu, Msaada Tafadhali Nafanyeje Hapo.
cc Chief-Mkwawa
cc Chief-Mkwawa