Msaada kwenye samsung

Dexaquin

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
230
Reaction score
80
Habarin wana jukwaa?

Naomben msaada ambae anazifaham vizuri Samsung hasa note 2.

Nina simu aina ya Samsung galaxy note 2 inasumbua katika upande wa network, imekuwa inakata network kwa mda, na ikiwa imekata network kwa mda mrefu inazima. Ukiwasaha inawaka then inazima tena, cjajua tatizo ni nn, cjawahi kuidondosha. Itawaka endapo ukii-connect na charger au ukae kwa mda kidogo then uiwashe upya.

Naomben msaada katika hili.
 
Kwanza kabisa,, Pole mkuu..
Pili nikuelekeze kama ifuatavyo;-
Tatizo linawezekana kuwa kwenye betri pamoja na OS Samsung Galaxy Note II yako (Android)..
Kuanza na OS inabidi uanze kufanya "Factory Reset" (Hard Reset) kupitia Recovery mode... (kumbuka kufanya backup ya files zako kabla ga kufanya hard reset)
Kwa upande wa Betri nakushauri uende duka la Samsung au duka lolote unaloliamini ununue betri na charger mpya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…