Dio JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 1,274 Reaction score 159 May 23, 2014 #1 mambo vipi wakuu naombeni msaada kwenye sms nikitaka kutuma inaniandikia enter senders name. nimejitahidi kurekebisha lakini sijafanikiwa,mwenye kujua tafadhali anijuze
mambo vipi wakuu naombeni msaada kwenye sms nikitaka kutuma inaniandikia enter senders name. nimejitahidi kurekebisha lakini sijafanikiwa,mwenye kujua tafadhali anijuze