Wataalamu.. Nina samsung s4 yangu.. Naona umeibuka na tatizo hili sijui what to do...
Nikiangalia naona kuna sms ipo lakini nikiingia kwenye sms app naona hakuna unread sms..
Bt nilitumiwa sms naikuta sms thn nareply vizuri lakini home page naonekana nina sms moja ambayo sijajibu..
Jamani wataalaamu msaada plzzzz
MimiTena
ymollel
Chief-Mkwawa
mkuuu naona tatizoo lipo pale pale....
nimefanya hivooo mkuuu...!!
mkuuu app ya simu....
isiwe kesi...ningekua mimi ningetoa tu hyo app ninge weka messenger au evolve sms au textra app au hta hangout..au unaeza restore yani solution kibao tu kwann ikutese? si umeroot smu? tumia measenger ni app nzur ya sms iko na material design.
nime root simu mkuu bt napenda app ya simu.. thats why sikuwaza kutafuta app nyingine ya kureplace... and kureset simu jus becoz ya hii sms mmhh nikaonaaa ishu nyingine tena....
nime clear data sereval times then nime restart simu yangu.. thanks mkuu hakuna tena ile sms.. i appreciate sana kcamp..
clear cache na data kweny hyo sms app yako..nenda kweny setting then apps tafuta sms app yako ifungue kisha clear cache na clear data kisha restart device.
Kcamp unafanya kazi nzuri ubarikiwe. Nakumbuka ulinisaidia tatizo langu LA Tecno L6 na kutokana na maelezo(instructions) niliweza kulitatua na nimeona unazidi kuwa sehemu ya suluhisho kwa wengine zaidi. Keep the good work brother. Tunavyofanikiwa kuna namna nawe unabarikiwa. Pamoja sana.