Angalia doc yako ina ukubwa gani ni MB ngapi transcript unaatach kivyake cheti kivyake
Sent using Jamii Forums mobile app
Transcript moja inapande 2 ukiscan na kuiweka kwenye PDF sidhani kama itazidi required size. Ikizidi tengeneza folder moja litakalo beba page zote mbili zikiwa separate cheki tena hope itakubaliNimeattach kivyake ila bado....je nikikuta ina mb kubwa ninazipunguza kwa kufanyaje?
Mkuu ingia Google compress file lako kiwe kwenye size ndogo then upload litakubali
Sent using Jamii Forums mobile app
Portal inakubali file size Dogo hilo lako ni kubwa kama ni PDF tafuta online app ya kucompress like kwenye size ndogo uki upload itakubaliSamahani wadau, ninapata shida kwenye portal ajira kwani niki attach file inasema “The uploaded file exceeds the maximum allowed size in your PHP configuration size”...je ninatatua vipi ili tatizo?? Kwa anayefahau