Msaada kwenye PHP form validation!

Msaada kwenye PHP form validation!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
Wakuu naombeni msaada nimetengeneza form yangu na kuiset kwamba spaces zikiwa hazijajazwa zote idisplay error message infront of hizo spaces ambazo hazijajazwa!
Tatizo linakuja kwamba mimi nataka iwe inadisplay only when the form is submitted! But yenyewe inadisplay error message hata wakati nikiopen the page while nothing has been filled!
Naombeni msaada how can I code it ili mtu akifungua page isidisplay error message ila akitaka kujaza form na akaacha some spaces unfilled idisplay!

Yaani nataka idisplay error on submitting and not on opening the page!
What condition/loop can I use?

Cc. Stephano mtangoo
 
Last edited by a moderator:
Unadetect vipi kuwa mtu amesubmit form? Kwenye condition hiyo pia fanya validation yako.
 
Jaribu kutupa code ulizotumia wewe Tangopori
.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu naombeni msaada nimetengeneza form yangu na kuiset kwamba spaces zikiwa hazijajazwa zote idisplay error message infront of hizo spaces ambazo hazijajazwa!
Tatizo linakuja kwamba mimi nataka iwe inadisplay only when the form is submitted! But yenyewe inadisplay error message hata wakati nikiopen the page while nothing has been filled!
Naombeni msaada how can I code it ili mtu akifungua page isidisplay error message ila akitaka kujaza form na akaacha some spaces unfilled idisplay!

Yaani nataka idisplay error on submitting and not on opening the page!
What condition/loop can I use?

Cc. Stephano mtangoo

"If (isset($_SESSION['username])) echo $_SESSION['username], $_SESSION['username]=NULL;" without qouotes
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lipo kwenye session mkuu,
tupia code zako tukusaidie maana kuna njia nyingi za kuvalidate. Au fanya kama alivyofanya hapo juu
Dreson3 ila anza na <?php then fungia ?>
 
"If (isset($_SESSION['username])) echo $_SESSION['username], $_SESSION['username]=NULL;" without qouotes

<?php
if(isset($_SESSION['username'])) echo $_SESSION['username']; $_SESSION['username']=NULL;
?>
 
Tatizo lipo kwenye session mkuu,
tupia code zako tukusaidie maana kuna njia nyingi za kuvalidate. Au fanya kama alivyofanya hapo juu
Dreson3 ila anza na <?php then fungia ?>

Afu akumbuke kustart sessions kwenye kila page anayotaka kutumia sessions
 
simple tu
<form method="post" action="aa.php">
<input id="email" name="email" placeholder=" Email address" required>
<input id="password" name="password" placeholder=" Password" required>

<button type="submit">Login</button>
 
Akitumia Pattern na Required ni nzuri ila bado ni client-side form validation, Ni muhimu afanye zote pamoja na server-side validation.
 
Back
Top Bottom