bitebo7 JF-Expert Member Joined May 1, 2015 Posts 858 Reaction score 601 May 18, 2022 #1 Wakuu kila ninapojaza naletewa ujumbe huu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,467 Reaction score 193,436 May 18, 2022 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...
Roy Keane Member Joined Oct 29, 2020 Posts 98 Reaction score 205 May 19, 2022 #3 Developers wa system za serikali wana matatizo kwakweli. Kuna inputs nadhani unakosea lakini developers wa system hawajaweka namna ya ku handle hiyo error, hivyo kukufanya wewe ushindwe kujua ni nini unakosea.
Developers wa system za serikali wana matatizo kwakweli. Kuna inputs nadhani unakosea lakini developers wa system hawajaweka namna ya ku handle hiyo error, hivyo kukufanya wewe ushindwe kujua ni nini unakosea.