Msaada kwenye mobile native app development by using phonegap and cordova framework

Msaada kwenye mobile native app development by using phonegap and cordova framework

Joined
Aug 14, 2014
Posts
11
Reaction score
3
Hallo jf members…
poleni na majukum…
mimi binafsi ni developer mdogo ambaye napenda sana kujifunza...
mara nyingi ugumu unakuja pale unapokuwa peke yako na gugo tuu…
nilishatengeneza native apps za android lakini baada ya kuangalia technology inavyoenda nataka nitengeneze hybrid app kwa kutumia html 5,java, ajax etc. Under phonegap framework.
Changamoto ninayoipata hasa ni kuitumia ajax ku connect app yangu na database ili iweze kufanya vifuatavyo
Login
Registration
Fetching data
sending data etc.
Nilifanikiwa kufanya haya yote under native android ya java,xml and php API.
please naomba msaada wa mawazo..
Thanx sana
 
Back
Top Bottom