Kama ulipata chuo kimoja yaani single admission haina haja ya ku confirm coz confirmation code wanatumiwa wale wanye multiple admission.Pia unaweza kuomba chuo kingine bila ku cancel admission ya chuo cha awali na bado ukapata,ukishapata chuo kwenye second round utaingia kwenye kundi la wenye multiple admissionHello, nlikua nahitaji msaada!
Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case hicho chuo hujakipenda na ukapata bila kuicancel au kucomfirm hiyo first selection yako? Au bila kucancel, vyuo vingine ulivyoapply kwenye second selection havitokuchagua?
Au hiyo kitu hsiusiani na second selection ako as long as umeapply tena?
Uliapply mwenyewe chuo kimoja... sasa kama umekipata unatafuta kingine cha nn?Hello, nlikua nahitaji msaada!
Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case hicho chuo hujakipenda na ukapata bila kuicancel au kucomfirm hiyo first selection yako? Au bila kucancel, vyuo vingine ulivyoapply kwenye second selection havitokuchagua?
Au hiyo kitu hsiusiani na second selection ako as long as umeapply tena?
Una kiherehere mkuu!..Uliapply mwenyewe chuo kimoja... sasa kama umekipata unatafuta kingine cha nn?
Tatizo mnatabia ya kuiga watu na kuwa na marafiki wa hovyo kisa kapata chip fulani huku wewe hukujaza!
Mnakera sana!
I guess hukuelewa,first selection unaweza kuapply vyuo zaidi ya kimoja!na ndicho nlichofanya! Nliapply vyuo vinne na napata kimoja ambacho hakikua my priority among those! That's why mmeuliza if it's possible kuapply Tena nkapata regardless ya kuchaguliwa hicho chuo kimoja tu!!!Uliapply mwenyewe chuo kimoja... sasa kama umekipata unatafuta kingine cha nn?
Tatizo mnatabia ya kuiga watu na kuwa na marafiki wa hovyo kisa kapata chip fulani huku wewe hukujaza!
Mnakera sana!
Aise, Asante sana make hicho ndo nlicholenga kuuliza haswaUna kiherehere mkuu!..
Iko hivi…. First round unaweza chagua hata zaidi ya viwili ila huko kwingine ukakosa ndio ukachaguliwa kimoja, let say umechaguliwa kwenye chuo sio priority yako.
Second selection ukarudia, ukapata vingine tena.. natumaini ndicho kilichomtokea mtoa mada.
Inawezekana..I guess hukuelewa,first selection unaweza kuapply vyuo zaidi ya kimoja!na ndicho nlichofanya! Nliapply vyuo vinne na napata kimoja ambacho hakikua my priority among those! That's why mmeuliza if it's possible kuapply Tena nkapata regardless ya kuchaguliwa hicho chuo kimoja tu!!!
Na sio issue za sijui kuiga marafiki au nini!so please jaribu kuelewa tatizo la mtu kwanza kabla
Kila la kheriHello, nlikua nahitaji msaada!
Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case hicho chuo hujakipenda na ukapata bila kuicancel au kucomfirm hiyo first selection yako? Au bila kucancel, vyuo vingine ulivyoapply kwenye second selection havitokuchagua?
Au hiyo kitu hsiusiani na second selection ako as long as umeapply tena?
Sawa, AsanteKila la kheri
Ndio utapataMkuu samahani!! Na kama umechaguliwa vyuo viwili na haukufanya confirmation katika chuo chochote!! Bado unaweza kuomba na ukapata
Unaweza omba chuo kingine ... Kucomfirm haijalishii ila unawez na kam ukipat ndio mwenyeo utadecideHello, nlikua nahitaji msaada!
Hivi kwa mfano uliappy first selection ukapata chuo kimoja tu ko selection ako ikaja comfirmed, still unaweza kuapply in second selection kuona ka utapata in case hicho chuo hujakipenda na ukapata bila kuicancel au kucomfirm hiyo first selection yako? Au bila kucancel, vyuo vingine ulivyoapply kwenye second selection havitokuchagua?
Au hiyo kitu hsiusiani na second selection ako as long as umeapply tena?
Asante.Nlifanyikiwa kuomba chuo kingine kwenye third round bila kucancel Wala kucomfirm na nimepataUnaweza omba chuo kingine ... Kucomfirm haijalishii ila unawez na kam ukipat ndio mwenyeo utadecide
Asante,nimepata ndioNdio utapata