Msaada kwenye ku-root samsung galaxy s3

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
Habari wana jamvi, nina simu aina ya samsung galaxy s3 , nilijaribu kuiroot ili iwe "mpya" kwani kuna baadhi ya vitu sikuweza kuvifanya kama screen shot...baada ya kusoma baadhi ya thread kwenye jukwaa hili nlii-root simu yangu kwa kutumia "vRoot"

Mwishoni ilniandikia successfully na kuleta icon ya Kinguser..cha ajabu mpaka sasa nimejaribu kutumia screen shot (nimei-download) lakini bado hamna kitu ,naomba msaada kama kuna mahali nimekosea..
 
Ku scrin shot hakuhtaj kuroot .kwa hyo simu..jus Pressing the Power and Home buttons at the same time will grab an image of the screen.
 
Kuna baadh ya vitu unatakiwa uulizie kwanza kama Sim huna matumiz makubwa us root kwa ushauri wang
 
Wakati fulani huwa hatujui vitu ...tunafanya kwa mkumbo w wenzetu. ..kukosea n hatua mojawapo katk kufaulu..nimelijua hilo kupitia jf
 
baraka muyabi,



1.ingia settings kisha security kisha utoe tick kwenye "unkown sources"

1.download towel root hapa kwa kuminya (click kwenye y nyekundu ili udownload) https://towelroot.com/

2.fungua towelroot minya "make it rain"

3.nenda playstore download "supersu"

4.done
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…