Visual Studio haiwezi kucompile fortan, na hata C++ nadhani inaweza ikakupa tabu bila kufanya makarate.
IDE nzuri ya C++ ni
Bloodshed Software - Dev-C++
Visual Studio unaweza ukainyonya kwenye Torrent site yoyote e.g
Torrents Search Engine
Pia kuna free Version inapatikana kutoka kwa Microsoft, ila feature zengine ziko disabled, ila kwa kujifunza inafaa.