Msaada kwenye kisimbuzi cha DigiteK

Msaada kwenye kisimbuzi cha DigiteK

archicad21

Member
Joined
Apr 19, 2020
Posts
18
Reaction score
4
Mafundi/Supplier wa Decoder ya Digitek wamepotelea wapi, mimi nahitaji ku-update software ya hiki kisimbuzi maana kimebaki na local channel 5 tu.
 
Mafundi/Supplier wa Decoder ya Digitek wamepotelea wapi, mimi nahitaji ku-update software ya hiki kisimbuzi maana kimebaki na local channel 5 tu.
Nunua cha Azam acha kujitesa hiyo kitu ilishakufa long time
 
Hiyo kitu sio kuwa ilishakufa muda mrefu?
 
Back
Top Bottom