inaweza kupona ila hata ukiwrite nvram huwa inafail ila jaribu hii ukitaka idetect connect usb kisha shikilia volume down na uweke battery itakubali wakati huo research download iwe open then umestart inawait for USB ikigoma ntakupa box itakusaidia ila weka kwanza file za FDL1 na FDL2 then nvram ikifail skip then system skip na modem na userdata vingine vyote weka tick

Asante bro phone imepona nashukuru sana maana nilijua imekufa
we jamaa noma sana Mungu akuzidishie moyo wa kujituma kujua na kutoa kiroho safi nakupenda sana bro una roho za kiswahiliinaweza kupona ila hata ukiwrite nvram huwa inafail ila jaribu hii ukitaka idetect connect usb kisha shikilia volume down na uweke battery itakubali wakati huo research download iwe open then umestart inawait for USB ikigoma ntakupa box itakusaidia ila weka kwanza file za FDL1 na FDL2 then nvram ikifail skip then system skip na modem na userdata vingine vyote weka tick
Mkuu, kama upo Dar niPM namba zako maana nna tatizo na kaLumia kangukaribu wakati mwingine ikiingia parten clear userdata tu sio lazima uguse file system