Naomba msaada wa configuration za Photocopier ya IR2545 kutumika kama scanner.Nemeweza configurations za printing lakini scanner bado sijaweza.tatizo liko kwenye kupata TWAIn application kwa ajili ya scanning.Naomba msaada wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.