Msaada kwenye ili tatizo la moyo

Habari ndugu zangu, napenda niende moja kwa moja kwenye tatizo linalo nisibu

Nimekuwa nikipata tatizo la kubanwa kwa moyo na kuvuta pumzi kwa shida, hasa kama ikitokea nikiwa nimelala itanibidi niamke nikae kidogo nivute pumzi kwa shida ivyoivyo kidogo napata unafuu kuliko kuendelea kulala

Hali hii inanitokea mara chache sana, kama baada ya miezi kadhaa ndio hii hali inaweza kujitokeza

Umri miaka:23
Jinsia: mwanaume
Sio mnene, mwili wa kawaida, sina magonjwa ya chronic, sivuti sigara wala sinywi pombe au kilevi chochote kile

Asante.... Nawasilisha
Inawezekana una "Obstructive sleep apnea" au una "Angina" cha kukushauri nenda kamuone daktari wa mambo ya moyo ili upate vipimo sahihi mkuu pole sana .
 
Nina tatizo km lako ila dawa ninazo, huwa inaanza tu na hapo masaa ma3 -ma4 inapoa then itarudi tena baada ya wiki au mwezi.
Niliumwa lung cancer zamani so ni life yangu hiyo mpk leo.
 
Tatizo lako ni dogo kiambia km 15 au 10 asubuhi na jioni mara nne kwa wiki ikifika weekend kunywa k vant baada ya mwezi utasahau kbs hy kitu
 
Back
Top Bottom