Msaada kwenye hili plz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kwenye hili plz.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Dec 6, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hello jf!nina rafiki yangu ambae kiumbo ni mrefu na mnene wa wastan,ana galfrd wake ambae ni mfupi bt nae ni mnene wa wastan!tatzo ni kwamba huyu msela wangu anataka kumpga huyu gal chini eti kisa ni mfupi sana kwake!me nimemshauri asifanye hvo bt ye still kabaki na msimamo wake.ni busara kweli kumuacha mtu kwa kigezo hcho au jamaa kamchoka tu?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sababu ya kweli anaijua mwenyewe.
  Kama huo ufupi ndo anauona leo basi jua ameshamchoka na anachotafuta ni kisingizio tu. Mshauri amwache tu dada wa watu maana atakua anamfanyia favor akapate mtu wa maana huko mbeleni.
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mshikaji wako amesha kamua sana naona kamchoka sasa hamtaki.
   
 4. F

  Fundifundisho Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wafupi watamu sana ila tatizo ni wakorofi na jeuri sana,.ila mi nawapendaga sana hivyo nipe namba ya huyo dada ili nimsaidie kuukabiri upweke.
   
 5. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,499
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Kwani wafupi hawaolewi/ hawana wachumba?
  Atakuwa amepata demu mwingine hivyo anatafuta kisingizio.
  :A S-coffee:
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  compromise leads to unhappiness.....so if boy wants a taller lady piga chini tuu tatizo lipo wapi bwana!!!
  mbona wanawake wenyewe wanakutosa kwa mambo ya kijinga kama kutokuwa na muscles....
   
 7. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hata warefu watamu bana.
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  kha!. . . . .
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  duh!assume ni sister ako!
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  hata tumshauri vp hawezi rudi nyuma huyo basi amwache dada wa watu mapeeeema
   
 11. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  maskini ya mungu,kumbe ufupi kilema!
   
 12. m

  masiri Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Urefu au ufupi sio tatizo kuna kitu huyo mdada kamfanyia mshkaji , tatizo unaweza kukuta huyo demu pamoja na ufupi wake anamtamkia wazi mshkaji kwamba anapenda watu warefu kama Dhabiti! imagine pamoja na ufupi wake anamwona jamaa mfupi,
  Ukweli ni kwamba mademu wafupi ni wabishi, wanachonga sana na wanapenda chini
   
 13. s

  sangija Senior Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari ndio hio! tafakari!
   
Loading...