Msaada kwenye burning softwares

Msaada kwenye burning softwares

luha

Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
20
Reaction score
1
Wakuu msaada nikitaka 2mia nero au ashampoo kuburn inaniambia no compatible cd recorder found
 
Mkuu hiyo pc unayotumia ni yako au umegongea? Na kama ni ya kugongea hebu mwombe mwenye nayo akufungulie kwa password administrator account au run hizo program as administrator zitafanya tu mkuu
 
Me mgn mkuu ka vp nielekeze fresh cjakusoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom