Msaada kwenye android setting

Msaada kwenye android setting

AMB

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2013
Posts
207
Reaction score
67
Salaam ndugu zangu wanajamvi,nimemenunua ki-simu kidogo tu kizuuri cha Nokia X2 na kuanza kuenjoy huduma za mtandao, ktk kuperuzi na kujifunza mambo ya mtandao nilianza kuunganisha mtandao kwa kutumia wi-fi ya simu nyingine na kwa hotspot ya bluetooth.Sasa kinachonisumbua na kuniumiza kichwa ni kwamba sasa simu haiconnect mtandao wa internet kawaida,nikibofya kitufe cha mtandao inaniambia hamna mawasiliano kwenye server. Kibaya zaidi ugonjwa umezikamata simu zote mbili,nifanyeje?
Msaada tafadhali. Hii nyingine ni Hisense HS-U939
 

Attachments

  • IMG_20141223_104130.jpg
    IMG_20141223_104130.jpg
    425.5 KB · Views: 77
Back
Top Bottom