tumlack JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 675 Reaction score 49 Jun 16, 2014 #1 wakuu habar zenu. hiv kuna app yoyote itakayoniwezesha kupga simu ktk ipad yangu..maana nahtaj kupga simu za kawaidah ila nimechemka wakuu.
wakuu habar zenu. hiv kuna app yoyote itakayoniwezesha kupga simu ktk ipad yangu..maana nahtaj kupga simu za kawaidah ila nimechemka wakuu.
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,701 Reaction score 2,613 Jun 16, 2014 #2 iPad haina uwezo wa kupiga simu. SIM card ni kwa ajili ya data tu.