PROF MUDI DULA
Member
- Oct 29, 2012
- 86
- 4
Nina imani nitasaidiwa haraka.
Naombeni mnijuze gharama na "process" ya kukata paspoti ya kimataifa kwa hapa Tanzania. Nataka kusafiri kwenda Marekani.
Jamani nipo "serious", hebu nijuzeni na wala sina maana nyengine yoyote zaidi ya kutaka kujua.