Msaada kwenu mabaharia...

Kujibinua binua kote nliishia kuona tight tu wakuu..roho inaniuma sana nawaza mbinu gan ntmie sabb nkisema nimuapproach kwa jinsi tlivyozoeana hatonielewa ataona kama nmechanganyikiwa
na ikitokea nimemla stoenda chuo wiki 1 kusheherekea ushindi..

naombeni msaada wa mbinu mabaharia..hatumii pombe

note:anamjua mtu wangu kwani ashagawahi kuja maghetoni,lakn pia ashaniambia yupo kwnye mahusian na jamaa flani ambae wako na plan ya kuoana..
mwsho.
Umekagua ARV's kwenye droo zake?
 
mficha ugonjwa kifo humuumbua mkuu..kipi kgeni na cha ajabu apo
chagua moja kusuka au kunyoa...
taarifu ubongo wako kuwa bora lawama kuliko fedheha.
fosi kumtia safari hii kivyovyote ila usiogope kumpoteza cz ukifanikiwa utaendelea kumla na ikibuma mtakuwa maadui... na kuhusu urafiki waachie magay cz hakunaga urafiki wa ke na me
 
Back
Top Bottom