Hello jf..
naomba niende direct kwnye mada husika.
tangu nipo 1st year.nlikua na ukaribu na binti fulani,nlijaribu kumuimbisha dana dana zkawa nyngi ad tkawa marafiki wakubwa yaani hawez kaa dk.10 hajaniona wala kunisemesha..nkiwa mbali atanpgia ama kunitext ajue nlipo alnjal sana but just a friend japo nlikua namdokezea mara 1 moja kuw namkubali sana na nataman siku moja nimdinye,alikua akiishia kucheka mara muda mwngne kunitkana tkana(ile ya krafki na kuzoeana)..yote hayo yalfanyika tkiwaa tnakaa hostel 1 na mlango wangu na wake ndo inapakana hali ilopelekea kuwa na mazoea sana.
baada ya kumaliza UE Nlmwambia nina plan ya kuhama hostel na chumba nshapata,akaniulza wap?nkamwonysha..alichofanya akatafta namb ya mwny nyumba(pale nlpopata rm) nae akaomb chumba akaw amepata,na akafany kbs kutoa advance ili chumba kschukuliwe na mtu mwngne,kwa mara nyngne milango ilkua inatizamana,wakti wa likzo mwenye nyumba akawa ananiomb hela la svyo atakiuza kwa mtu mwngne,bs ikabd niachane na chumba icho..
inaendleaa>>>