Msaada kwenu mabaharia...

Unaweza kutamani kua karibu na mtoa mada afu unampiga kibao kimoja kizito sana nyuma ya shingo mpaka chini labda ubongo unaweza kujireset.
Eeh dogo mpumbavu yani kazingua sana, mjuba ningekuwa nishavuruga mashuka sahizi 😅!!!
Naskilizia kauli za “usije ukanichiti lakini extro pls” ...”si unajua nakupenda🥰 lakini”
 
Story yako inaboa sana, haieleweki.

Nimeona mahali umesema we ni 3rd year, yaani mwaka wa mwisho unaomba ushauri wa kipuuzi namna hii.

Bora basi ungeandika vizuri, uandishi nao hovyo kabisa. We dogo umenikera kabisa, umeidhalilisha elimu ya chuo kikuu kwa kiwango kikubwa mno.

Bila shaka utakua ni mwanachuo wa jalalani wewe.
 
Eeh dogo mpumbavu yani kazingua sana, mjuba ningekuwa nishavuruga mashuka sahizi 😅!!!
Naskilizia kauli za “usije ukanichiti lakini extro pls” ...”si unajua nakupenda🥰 lakini”
 
Ushauri wangu namuomba Mungu ukifika mbinguni uchomwe moto,umeonyesha uzembe mkubwa
 
Wewe ni bwakila yani umeshafeli kitambo...mtoto anajileta unakula kwa macho
 
oya jamaa unanifahamu nn,demu anaitwa rose ujue.
 
huoni aibu kusema maneno hayo mbele ya wanaume wenzio
 
Dah nadra sana. Unaonekana siyo striker mbobezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…