Msaada: Kwa wenyeji wa minada ya kuku Singida na Tabora

Msaada: Kwa wenyeji wa minada ya kuku Singida na Tabora

Dullah07

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2017
Posts
220
Reaction score
476
Habarini wana JF,
Mimi nataka nianze kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka ktk hiyo mikoa niwalete Moro.

Nauliza kwa wanaofahamu sehemu zenye minada ya kuku huwa ni maeneo gani na hufanyika siku gani na jee vipi kufikikika ktk hayo maeneo pamoja na unafuu wa bei pamoja na ubora wa kuku ukizingatia mimi ni mgeni ktk hayo maeneo na ni mgeni ktk hii biashara.

NB.
Ningependa sana kujua majina ya hiyo minada na hufanyika siku gani na jee aina gani ya usafiri niutumie kwani mimi mwenyeji wa Moro.
Nawasilisha.
 
Kila la kheri

Ni bora zaidi ukatembelea hizo sehemu ili kujionea mwenyewe hali halisi ya mazingira ya hiyo biashara halafu ndio utaweza kujua namna ya kuanza
 
Kila la kheri

Ni bora zaidi ukatembelea hizo sehemu ili kujionea mwenyewe hali halisi ya mazingira ya hiyo biashara halafu ndio utaweza kujua namna ya kuanza
Asante jembe kwa ushauri sema ndo nataka niyajue hayo maeneo ili nifanye feasibility study
 
Usafiri ni wa malori............sehemu za minada nishazisahau siku nyingi kweli sijaenda,ngoja nitawauliza wadau wangu!
 
Hao ndege mkuu huku kibao tu kama uko siriaz tembelea maeneo ufanye research ila ni uhakika mkuu.
 
Habarini wana JF,Mimi nataka nianze kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka ktk hiyo mikoa niwalete Moro.Nauliza kwa wanaofahamu sehemu zenye minada ya kuku huwa ni maeneo gani na hufanyika siku gani na jee vipi kufikikika ktk hayo maeneo pamoja na unafuu wa bei pamoja na ubora wa kuku ukizingatia mimi ni mgeni ktk hayo maeneo na ni mgeni ktk hii biashara.
NB. Ningependa sana kujua majina ya hiyo minada na hufanyika siku gani na jee aina gani ya usafiri niutumie kwani mimi mwenyeji wa Moro.Nawasilisha.
Minada ipo mingi sanaa mkuu, Igunga, Ikungi, Njia panda, sepuka, mkalama, n.k kama uko seriaz nitafute tufanye business

Kwa kuzingatia haya nitafute

  • Soko lipo la kutoshaa/uhakika
  • Bei ya kuku unanunua/kuuza sh ngap
  • Mahitaji ni kiasi gan per week

Asante sanaa

BM
 
kuku kwenye minada ya singida wanazingua
nilishafanya hii biashara
unaweza ukasubiri watu wakaja na kuku hamsini wasifike
karibu kila siku kuna mnada
inategemea na wilaya unayoenda

kama unaweza jiunge na wale jamaa wanaouza kuku masokoni ila wanawafata vijijini unaweza ukapata kuku wa biashara.
 
Habarini wana JF,Mimi nataka nianze kufanya biashara ya kuku wa kienyeji kutoka ktk hiyo mikoa niwalete Moro.Nauliza kwa wanaofahamu sehemu zenye minada ya kuku huwa ni maeneo gani na hufanyika siku gani na jee vipi kufikikika ktk hayo maeneo pamoja na unafuu wa bei pamoja na ubora wa kuku ukizingatia mimi ni mgeni ktk hayo maeneo na ni mgeni ktk hii biashara.
NB. Ningependa sana kujua majina ya hiyo minada na hufanyika siku gani na jee aina gani ya usafiri niutumie kwani mimi mwenyeji wa Moro.Nawasilisha.
Ata mm nipo interested kujua
 
Minada ipo mingi sanaa mkuu, Igunga, Ikungi, Njia panda, sepuka, mkalama, n.k kama uko seriaz nitafute tufanye business

Kwa kuzingatia haya nitafute

  • Soko lipo la kutoshaa/uhakika
  • Bei ya kuku unanunua/kuuza sh ngap
  • Mahitaji ni kiasi gan per week

Asante sanaa

BM
Kaka vip, nimependa ushauri wako, tunaweza fanya biashara?
 
Back
Top Bottom