mr altitude
Member
- Jul 23, 2016
- 96
- 59
Speed ya gari inavyosoma inasoma kulingana na mzunguko wa tairi inavyozunguka so kama ulikuwepo speed 180 itasoma kulingana na mzunguko wa tairi unavyozungushwa na gearbox
Wala hajadanganya chochote. Gar ikiwa kweny speed ndogo sana ukiachia mafuta ndo litazima ila kwama engine inamzunguka tayar gar haizimi. Sasa aliposema mteremkon unaweza kuachia jukanyaga mafuta yupo sahihi gar litaendelea kwenda na contol utakuwa nay kiac kwa sabab ya giaAcha kupotosha watu!ukiacha kukanyaga mafuta na gari ipo kwenye gia lazima itazima