Kwa wenye uzoefu na android, je ni simu gani yenye android ambayo ni bei rahisi na iko sokoni?? yani kuanzia laki mpaka laki na nusu??
na je ni nan anajua jinsi ya kuiunga HUAWEI ASCEND Y200 uwe unaiona kwa internet, yaani kwa GPS????????/
mkuu gps ni hardware ipo kwenye simu kama unavosema bluetooth au kioo au spika.
kuweza kutumia gps inabidi uwe na software/service ambayo itakua inatumia hio gps ili kuweza kufanya hayo unayotaka.
just search playstore gps service utakuta software za kutosha ila sidhani kama kuna free service za hio kitu

Kwenye Android phone, nenda market place, halafu click search, then GPS, zipo nyingi sana na nyingi ni bure. Kuhusu kuunga kwenye simu hakuna unachotakiwa kufanya ni kudownload na ku-install, software inajua yenyewe jinsi ya kuongea na hardware.
first download gps app on your android phone and go to the setting after that open gps and open that app which u downl..... and try to use, TRY TO DO IT!!!!!!!!!!!!!!!!