Msaada kwa wazoefu na watumiaji wa toyota ist.

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
898
500
Kuna ist bado mpya toka ianze kutumika Tanzania, tatizo lake ni unapopita kwenye maeneo ya roughroad hasa ikiwa barabara ina yale mashine ya kutumbukia na kuinuka unasikia milio fulan nyuma kama vitu au vyuma vinasuguana hv, na mlion nadhani unatokea pale inapofungwa shockup upande wa juu kwenye buti la nyuma, nimejaribu na fundi kutoa vile vifuniko vya kwenye buti ili tukaze zile nuts za shockup lakini bado inalia nikiwa sehem ya mashimo, barabara ya lami gari inatulia kabisa labda nipite lami yenye mawimbi sn ndio utavisikia kwa mbali, kwa anaejua hili tatzo naomba msaada kelele zinaboa sn hasa ukiwa umezima radio..
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,214
2,000

Badilisha spring coil zitakua zimeshakua weak...moja ni 80 nunua za pande zote
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
9,335
2,000
vyuma vinasuguana hv, na mlion nadhani unatokea pale inapofungwa shockup upande wa juu kwenye buti la nyuma,
- Kabadili bushi, upande wa chini wa shockup husika, waweza badili zote, kulia na kushoto, bei yake ni ndogo sana.
1570241407283.png

- Waweza kuweka hata ya kuchongesha kwa tairi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom