sam guardiola
Member
- Nov 6, 2020
- 31
- 21
Ningependa kufahamu kama mfumo wa watumishi wa umma HUMAN CAPITAL MANAGEMENT INFORMATION SYSTEM (HCMIS) kama unafanya kazi kwa ngazi za wilaya. Msaada jaman
Kwahyo upo katika ngazi zote za serikali hususan nahitaji wilayani, nataka nifanye Research sasa sijajua kama ni wiliya zote zina huu mfumo kakaYap inafanya kaka
Kooote wewe tu kakaKwahyo upo katika ngazi zote za serikali hususan nahitaji wilayani, nataka nifanye Research sasa sijajua kama ni wiliya zote zina huu mfumo kaka
Asante sana kakaKooote wewe tu kaka