Nina iphone 5 ilikuwa locked via network ya sprint US so nilipo letewa ilikuja gevey sim ambayo nilikuwa naipachika kwenye sim tray halafu sim card naiweka juu ya gevey then naiweka kwenye simu ina cheat server za iphone na kuniwezesha kutia simu kama kawaida isipokuwa kutumia ussd.
Sasa jana niliamua ku ireset nilipo ireset ndo majanga yalipoanzia.
Now haisupport ile gevey so inashindwa register ikiwa na cheap yoyote ya tz so inasoma network but no internet kabisa isopokuwa unaweA kupiga na kupigiwa na kisona sms nilizotumiwa tu kutuma siweZi.
Ombi:
Kama kuna anaye jua lu reconfigure gevey naomba anipe msaada au kama kuna mtu anayeweza fanya remote unlock at reasonable price please help.