Msaada kwa watalamu wa website

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Ndg zangu mimi nafanya cha kisomi lkn mimi sina elimu kubwa ya hiki ninachokiFanya, yote ni msaada toka jf, ombi langu leo nahitaji kujua nitafanyaje ikiwa nataka kuweka fomu ya kujiunga na shule (joining instruction) kwenye mEnyu ya website ya shule na ikiwa mtu stataka kuidownload alipie kwanza kwa njia ya M pesa. Nahitaji mwongozo how to do. Natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…