The teh teh......Hivi hizi element za kukataa watoto mnazitoaga wapi???
Mkuu hapo naona umechanganya madesa..Mother A+
Father O+
Hapo tuna cross matching Ab na Oa
Hapo tutapata AO, AA, BO , BA
Kwa hyo watoto sasa itakuwa hvi
Mtoto wa kwnza ni Group A
Mtoto wa pili ni Group A
Mtoto wa tatu ni Group B
Mtoto wa nne ni Group B
Aisee naona hematology na genetics umeisoma vizur sanaa.Mkuu hapo naona umechanganya madesa..
Heterogeneous ya group A ni AO na sio AB..


.Hahah nakumbushia biology F6Aisee naona hematology na genetics umeisoma vizur sanaa.
.


Sasa je ukiambiwa hayo magruop ya damu kuna sababu husababisha kuchange je utaamin ?Hahah nakumbushia biology F6![]()


.Hata kama kuna tofauti Basi vumilia usichukue maamuzi ya majutoHeshima yenu madoctors;
Samahani naomba kuuliza, hv inawezekana kwa mtoto kuzaliwa akiwa na blood gloup B+ huku wazazi wake ni A+ na O+? Kwa mwenye kufaham vizuri hii Biology naomba kujua tafadhali.