Mkenye Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 218
- 402
Kwa mara kadhaa zisizopungua tatu na zikiachana kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikipata ndoto mbaya sana zinazopelekea kukosa usingizi hadi asubuhi.
Kuna muda huwa nawaza huenda huwa najisahau kusali pale ninapopitiwa na usingizi lakini pia kuna muda huwa nafikiri namna ya kulala pia inachangia aina ya ndoto mtu anazoota.
Kwa mwenye ufahamu juu ya hili suala naomba anisaidie tafadhali.