NABII ELIAH
Member
- Oct 25, 2022
- 14
- 6
Hello
Kwa uzoefu wangu hakuna tatizo lolote hapo namba yako ya mtihani utapewa mwakani mwezi wa tatu tarh Kuanzia 15s 2023Wakuu naomba msaada kwa wataalam wa PC hivi ukiidownload entry form ya pc halafu ukaruka baadhi ya details kujaza mfano kwa hio form tumejaza kila kitu sasa tumedownload tayari tumesahau baadhi ya vitu mfano post name na receipt number je tunaweza zuiliwa kupewa namba ya mtihani mwakani kwa kigezo hicho?
Naomba tupewe jibu mapema ili tujue Kama Ni kesi nzito basi tukafanye Marekebisho , form yenyewe ndio hio kwenye miduara ya rangi nyekundu ndio hizo details tulizoruka ahsanteni.
View attachment 2397633
Asante sana mkuuKwa uzoefu wangu hakuna tatizo lolote hapo namba yako ya mtihani utapewa mwakani mwezi wa tatu tarh Kuanzia 15s 2023
Hapo piga kitabu ili ufike chuo kikuu ujionee watoto wa chuo wanavyopata degree za mchongo na kuhitimu na Aids
Ukifata vigezo unakubaliwa tuHivi ni kila shule inakubali chukua PC?
Je kama mtu kamaliza zamani atakubaliwa?
Inawezekana MkuuHivi ni kila shule inakubali chukua PC?
Je kama mtu kamaliza zamani atakubaliwa?
UnafanyaMfamo mimi nina Div. 3 kwenye combi nina CCD, Je hapo naweza kufanya mtihani wa advance kama private candidate? O level nilimaliza 2013... help me plz