Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,676 Sep 19, 2019 #21 Hazchem plate said: Fungua account ya telegram. Unga namba yako kisha unda Grup. Tupia hizo nyinbo kwenye Grup. Baada ya Hapo restore simu yako kisha uza. Ukinunua simu nyingine, pakua Telegram kisha login. Utalikuta like grup lina files zako Click to expand... Sio group tu hata kujitumia mwenyewe kwenye account yako inawezekana, mimi nimetunza faili zangu kwenye account(inasomeka kama Saved messages)
Hazchem plate said: Fungua account ya telegram. Unga namba yako kisha unda Grup. Tupia hizo nyinbo kwenye Grup. Baada ya Hapo restore simu yako kisha uza. Ukinunua simu nyingine, pakua Telegram kisha login. Utalikuta like grup lina files zako Click to expand... Sio group tu hata kujitumia mwenyewe kwenye account yako inawezekana, mimi nimetunza faili zangu kwenye account(inasomeka kama Saved messages)