Msaada kwa Wataalamu wa Excel

Mpombote

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,944
Reaction score
1,504
Habari! Naomba msaada wa Excel ambazo ni vipi nitafanikisha kitu kama Database(VBA) ambayo nitakuwa naweza ku record Data zangu kwa kuzingatia.

1.JINA yaan majina matatu
2.Kata anayokaa mtu
3.Card No.
4.Na sehemu ya ku insert picha.
5.Pia kuwe kuna kitu kama button ya ku search napokuwa namtaka mtu fulani nimpate na data zake zije.

Kwa chini kuwe kuna button ya ENTER(SAVE),CLEAR,na EXIT vipi ntafanikisha hili wakuu nina idea kwa uchache ya Excel naomba msaada au hata TEMPLATE kama kuna mtu anayo itakuwa vizuri pia.

Nashindwa kumtafuta Mtaalamu nimlipe hela maana siko vizuri financially kwa sasa.Ahsanteh
 
Hata bila VBA unaweza kufanya task zote hizo, kama utahitaji nikutengenezee hilo file nichek pm. Task zote hapo nitazifanya changamoto ni hapo kwenye ku-save, hapo VBA lazima ihusike lakini kusearch nitakuwekea mbadala wa drop down list , ukiclick jina taarifa za mtu zote zinakuja automatically

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inategemea na MS ya lini, ile ya 2007 ngumu kumeza tumia au update to MS16
 
Tumia the R language as imetengenezwa for statistical data handling and has many features but lesss flexible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…