John Cannor
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 1,463
- 1,827
hahahahah mim nimejiajir mjomba hii nifanya tu kudhibit wiz idiot mwiz mwenyewKama upo ofisini na umewekwa kimkakati na uncle au shemeji bora uresign tu.
Nyie ndio mnaoziba nafasi za wenye vyeti halali na ufanisi kupewa ajira maofisini.
Kamanda Sirro njoo uanzie huku!
Sasa umejiajiri without skills? Kama una mteja si umemchomesha sana hindi kukusubiri kaunta umfanyie kazi yake.?hahahahah mim nimejiajir mjomba hii nifanya tu kudhibit wiz idiot mwiz mwenyew
weka column g, f, na h kwanza kwenye # format moja drag formula angalia jibu elekeza tofauti tu fix cell kutatua tatzo kwa ujumla.hahahahah mim nimejiajir mjomba hii nifanya tu kudhibit wiz idiot mwiz mwenyew
Niaje Wakuu niende moja kwa moja kwenye point
Kuna Spread sheet nataka kutengeneza ambayo inakuwa na Expenses, Derbit, Credit na Cash Flow kwenye Bank Acc mfano nimenunua sukari 200tsh hii itakuwa derbit (Nimetoa kwenye Acc yang ambayo ina shiling elfu 5000) iikabak 4800 nikapewa hela na juma shiling 600 hii inakuwa ni credit (4800+600=5400 ambacho nikias kwenye akiba yangu) sasa nataka kiweka hii kitu kwenye Excel lakin formula imenipiga chenga mkuu na sehemu inayotakiwa kuwa na Formula ni moja tu kwenye Cash Flow Basi
CC ymollel Chief-Mkwawa na wengine
Unajichanganya mwenyewe kwenye hii excel yako. Njoo PM nikusaidie.mkuu ujanilewa vzr hapo unapochukua credit-debit sijui unapata nin mim nina idea ila namna ya kupresent kwente Fx sasa ndio mziki labda nina laki mbil yangu nikitaka kujua nimeingia nimetoa sina naweka 200,000-Debit+Credit ila nikiweka hii kwenye sheet haiwiii carry foward angalia hapa yan formula inakuwa applicable kwenye row ya kwanza tu ukijaribu kwenye
row ya pil kwa kudrag inakataa inatoa jibu la uongo
duuuuh hi formula yako sio kbs mana yangu inaunganisha debit na credit tu hakuna expensesKulingana na maelezo yako cheki formula hapa chini, unachofanya ni kuweka figure zako kwenye expenses, debit, credit drag cell I na J itakuwa jibu kwenye cash flow na ndio balance yako itakayokuwa imebaki Bank.
View attachment 366260
Hiyo ni yako, yangu inaonesha expenses kama mleta hoja alivyoelezea kwenye thread yake. Kinachofanyika ni kuweka item zile unazotaka against column.duuuuh hi formula yako sio kbs mana yangu inaunganisha debit na credit tu hakuna expenses