Msaada kwa wataalam wa Dish/Ving'amuzi

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,131
Habari wakuu, straight to the topic,

Mimi ninatumia king'amuzi kimoja cha Azam sasa soon nataka ku-uprade TV ya sitting room niweke kubwa zaidi halafu iliyopo niiweke chumbani kwangu.

Sitaki kununua king'amuzi kingine nataka niendelee kutumia kimoja. Najua inawezekana kupitia Ile RF port nyuma ya king'amuzi na kwenye TV unaweka kwenye port ya antenna.

Tatizo ni kwamba option ya kubadili channel inakua changamoto kwa hii second TV set. Naomba msaada maana naonaga tv za lodge unaweza kubadili tu channel bila matatizo n wanatumia dish/king'amuzi kimoja.

Naomba msaada wakuu
 
Kwa uelewa wangu mkuu ni mpaka decoder iwe na hio support mfano ya Dstv wana decoder hizi zinazoweza kuchange chanell TV mbili tofauti. Kwa Azam sidhani kama inawezekana.
 
Zinaitwaje mkuu, na gharama zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…