kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,743
Huwa natatizwa sana. Unakuta mtu ana kila kitu nyumbani. Kama ni pombe aina zote zipo. Kama ni chakula kila kitu kipo, nyama za kila aina mpaka za porini.
Kama ni nguo, ndio usiseme kabisa, maana kuna mashati hayajavaliwa sasa huu mwaka wa pili. Usafiri ndio usiseme kabisa. Gari tatu zote full tank.
Lakini mtu huyo akiangalia pochi yake na kukuta ina balance ya buku mbili na Bank kumekauka, anaugua kabisa. Kila wakati kujisemesha: "Daa nimeishiwa kweli, sijui mwezi huu utaishaje, daa!"
Hivi pesa ina sumu gani lakini?