MSAADA KWA WANAOJUA.

texaz mc

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2016
Posts
371
Reaction score
205
HABARI ZENU WANA JAMVI.
Shida yangu ni kwamba, hivi aliyechukua arts O-LEVEL akipiga hesabu vizuri kuna uwezekano wa kuchaguliwa kombi ya biashara kama vile ECA na EGM?
MSAADA TAFADHALI.
 
yeah,pia kam geography kafanya vizur kam ni kwa EGM so inawezekana kabisa.
 
EGM unachaguliwa kama umefanya vizuri hesabu na geog. Ila kwa habari ya ECA mpk uwe umesoma Commerce na bookkeeping mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…